Mwa. 9:16 Swahili Union Version (SUV)

Basi huo upinde utakuwa winguni; nami nitauangalia nipate kulikumbuka agano la milele lililoko kati ya Mungu na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili kilichoko katika nchi.

Mwa. 9

Mwa. 9:8-24