Mwa. 7:21 Swahili Union Version (SUV)

Wakafa wote wenye mwili waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;

Mwa. 7

Mwa. 7:15-24