Mwa. 7:1 Swahili Union Version (SUV)

BWANA akamwambia Nuhu, Ingia wewe na jamaa yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki.

Mwa. 7

Mwa. 7:1-9