Mwa. 49:6 Swahili Union Version (SUV)

Nafsi yangu, usiingie katika siri yao,Fahari yangu usiungane na kusanyiko lao,Maana katika ghadhabu yao walimuua mtu,Na kwa ukaidi wao walikata mshipa wa ng’ombe;

Mwa. 49

Mwa. 49:1-13