Mwa. 49:31-33 Swahili Union Version (SUV)

31. Humo walimzika Ibrahimu, na Sara mkewe; humo wakamzika Isaka, na Rebeka mkewe; nami humo nikamzika Lea;

32. shamba na pango iliyomo lililonunuliwa kwa wazawa wa Hethi.

33. Basi Yakobo alipokwisha kuwaagiza wanawe, akakunja miguu yake kitandani, akafa, akakusanywa pamoja na watu wake.

Mwa. 49