Mibaraka ya baba yakoImepita mibaraka ya milima ya kale,Vitu vinavyotamanika vya vilima vya milele;Na vikae juu ya kichwa cha Yusufu,Juu ya utosi wa kichwa chake aliye mkuu kati ya ndugu zake.