Mwa. 49:15 Swahili Union Version (SUV)

Akaona mahali pa raha, kuwa pema,Na nchi, ya kuwa ni nzuri,Akainama bega lake lichukue mizigo,Akawa mtumishi kwa kazi ngumu.

Mwa. 49

Mwa. 49:13-16