Mwa. 48:6-8 Swahili Union Version (SUV)

6. Na wazao wako utakaozaa baada ya hawa watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao.

7. Na mimi nilipokuja kutoka Padan, Raheli akanifia katika nchi ya Kanaani, njiani, si mwendo mkubwa kabla ya kufika Efrathi. Nikamzika katika njia ya Efrathi, ndio Bethlehemu.

8. Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?

Mwa. 48