Mwa. 48:20 Swahili Union Version (SUV)

Akawabariki siku ile akasema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.

Mwa. 48

Mwa. 48:16-22