Mwa. 46:5 Swahili Union Version (SUV)

Yakobo akaondoka kutoka Beer-sheba; wana wa Israeli wakamchukua baba yao na watoto wao wadogo, na wake zao katika magari aliyoyapeleka Farao ili kumchukua.

Mwa. 46

Mwa. 46:1-7