Mwa. 44:32 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana mtumwa wako alijifanya mdhamini wa huyu kijana kwa baba yangu, nikisema, Nisipomrudisha kwako, nitakuwa na hatia kwa baba yangu sikuzote.

Mwa. 44

Mwa. 44:31-34