Mwa. 44:10 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Basi na iwe hivyo kama mlivyosema, Mtu atakayeonekana kuwa nacho atakuwa mtumwa wangu, na ninyi mtakuwa hamna hatia.

Mwa. 44

Mwa. 44:6-15