Mwa. 43:23 Swahili Union Version (SUV)

Akawaambia, Amani iwe kwenu, msiogope; Mungu wenu, naye ni Mungu wa baba yenu, amewapa akiba katika magunia yenu; fedha zenu ziliniwasilia. Kisha akawatolea Simeoni.

Mwa. 43

Mwa. 43:19-30