Mwa. 43:16 Swahili Union Version (SUV)

Naye Yusufu alipomwona Benyamini pamoja nao, akamwambia msimamizi wa nyumba yake, Uwalete watu hawa nyumbani, ukachinje na kuandalia, maana watu hawa watakula pamoja nami adhuhuri.

Mwa. 43

Mwa. 43:10-20