Mwa. 43:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Njaa ikawa nzito katika nchi.

2. Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.

3. Yuda akamwambia akisema, Yule mtu alituagizia sana akisema, Hamtaniona uso wangu, ndugu yenu asipokuwa pamoja nanyi.

Mwa. 43