Mwa. 43:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Njaa ikawa nzito katika nchi.

2. Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.

Mwa. 43