Mwa. 42:6 Swahili Union Version (SUV)

Naye Yusufu alikuwa ni liwali juu ya nchi, ndiye aliyewauzia watu wote wa nchi. Nao ndugu zake Yusufu wakaja, wakainama kifudifudi mbele yake.

Mwa. 42

Mwa. 42:4-9