Mwa. 42:16 Swahili Union Version (SUV)

Mpelekeni mmoja wenu, aende akamlete ndugu yenu, na ninyi mtafungwa, hata maneno yenu yahakikishwe, kama mna kweli ninyi; ikiwa sivyo, aishivyo Farao, ninyi ni wapelelezi.

Mwa. 42

Mwa. 42:9-20