Mwa. 41:42 Swahili Union Version (SUV)

Farao akavua pete yake ya muhuri mkononi mwake, akaitia mkononi mwa Yusufu; akamvika mavazi ya kitani nzuri, na kumtia mkufu wa dhahabu shingoni mwake.

Mwa. 41

Mwa. 41:37-47