Mwa. 40:21-23 Swahili Union Version (SUV)

21. Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika kazi yake ya kunywesha, naye akampa Farao kikombe mkononi mwake.

22. Bali akamtundika mkuu wa waokaji, kama Yusufu alivyowafasiria.

23. Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau.

Mwa. 40