Mwa. 40:1 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa, baada ya mambo hayo, mnyweshaji wa mfalme wa Misri, na mwokaji wake, wakamkosa bwana wao, mfalme wa Misri.

Mwa. 40

Mwa. 40:1-8