Mwa. 4:25 Swahili Union Version (SUV)

Adamu akamjua mke wake tena; akazaa mwana mwanamume, akamwita jina lake Sethi; maana alisema, Mungu ameniwekea uzao mwingine mahali pa Habili; kwa sababu Kaini alimwua.

Mwa. 4

Mwa. 4:19-26