Mwa. 37:9 Swahili Union Version (SUV)

Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.

Mwa. 37

Mwa. 37:7-16