Mwa. 35:1 Swahili Union Version (SUV)

Mungu akamwambia Yakobo, Ondoka, panda uende Betheli, ukakae huko; ukamfanyie Mungu madhabahu huko; yeye aliyekutokea ulipomkimbia Esau, ndugu yako.

Mwa. 35

Mwa. 35:1-4