Mwa. 34:21 Swahili Union Version (SUV)

Watu hawa wana amani nasi, basi na wakae katika nchi, na kufanya biashara humo; kwa maana nchi ni kubwa, yawatosha; na tuwatwae binti zao kuwa wake zetu, na binti zetu tuwape wao.

Mwa. 34

Mwa. 34:11-22