Mwa. 32:17 Swahili Union Version (SUV)

Akamwagiza yule wa kwanza akasema, Esau, ndugu yangu, akikukuta, na kukuuliza, akisema, Wewe u wa nani? Unakwenda wapi? Tena ni wa nani hawa walio mbele yako?

Mwa. 32

Mwa. 32:7-19