Mwa. 31:41 Swahili Union Version (SUV)

Miaka hii ishirini nimekaa nyumbani mwako; nilikutumikia miaka kumi na minne kwa binti zako wawili, na miaka sita kwa wanyama wako, nawe umebadili mshahara wangu mara kumi.

Mwa. 31

Mwa. 31:37-47