Mwa. 31:29 Swahili Union Version (SUV)

Ninao uwezo mkononi mwangu wa kukufanyia madhara; lakini Mungu wa baba yako usiku huu ameniambia, akisema, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.

Mwa. 31

Mwa. 31:21-37