Mwa. 31:12 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Inua, basi, macho yako, ukaone; mabeberu wote wanaopanda wanyama wana milia, na madoadoa, na marakaraka; maana nimeona yote aliyokutendea Labani.

Mwa. 31

Mwa. 31:6-16