Mwa. 31:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi Yakobo akasikia maneno ya wana wa Labani, wakisema, Yakobo amechukua mali yote ya baba yetu; na kwa mali ya baba yetu amepata fahari hii yote.

2. Yakobo akaona uso wa Labani, ya kuwa hakumtazama vema kama jana na juzi.

Mwa. 31