Mwa. 3:8 Swahili Union Version (SUV)

Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone.

Mwa. 3

Mwa. 3:1-17