Mwa. 29:32 Swahili Union Version (SUV)

Lea akapata mimba akazaa mwana, akampa jina lake, Reubeni, maana alisema, Kwa kuwa BWANA ameona teso langu; sasa mume wangu atanipenda.

Mwa. 29

Mwa. 29:30-33