Mwa. 29:15 Swahili Union Version (SUV)

Labani akamwambia Yakobo, Kwa sababu wewe ni ndugu yangu, basi, je! Unitumikie bure? Niambie mshahara wako utakuwa nini?

Mwa. 29

Mwa. 29:8-22