Mwa. 28:6 Swahili Union Version (SUV)

Esau akaona ya kwamba Isaka amembariki Yakobo na kumpeleka Padan-aramu, ili ajitwalie mke huko, na katika kumbariki akamwagiza, akasema, Usitwae mke wa binti za Kanaani,

Mwa. 28

Mwa. 28:1-14