Mwa. 28:18 Swahili Union Version (SUV)

Yakobo akaondoka asubuhi na mapema, akalitwaa lile jiwe aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimamisha kama nguzo, na kumimina mafuta juu yake.

Mwa. 28

Mwa. 28:8-22