Mwa. 28:14 Swahili Union Version (SUV)

Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.

Mwa. 28

Mwa. 28:9-17