Mwa. 28:11 Swahili Union Version (SUV)

Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.

Mwa. 28

Mwa. 28:8-13