Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo;Na itakuwa utakapoponyoka,Utalivunja kongwa lake katika shingo yako.