Mwa. 27:38 Swahili Union Version (SUV)

Esau akamwambia babaye, Una mbaraka mmoja tu, babangu? Unibariki mimi, mimi nami, Ee babangu. Esau akapaza sauti yake, akalia.

Mwa. 27

Mwa. 27:28-39