Mwa. 27:25 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.

Mwa. 27

Mwa. 27:20-33