Mwa. 26:32 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa siku ileile, watumwa wa Isaka wakaja wakampasha habari za kile kisima walichokuwa wamekichimba, wakamwambia, Tumeona maji.

Mwa. 26

Mwa. 26:29-35