Mwa. 25:26 Swahili Union Version (SUV)

Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake unamshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.

Mwa. 25

Mwa. 25:19-34