Mwa. 25:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Ibrahimu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.

2. Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua.

3. Yokshani akamzaa Sheba, na Dedani; na wana wa Dedani walikuwa Waashuri na Waletushi, na Waleumi.

Mwa. 25