Mwa. 24:47 Swahili Union Version (SUV)

Kisha nikamwuliza nikasema, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia hazama puani mwake na vikuku mikononi mwake.

Mwa. 24

Mwa. 24:41-54