Mwa. 22:14 Swahili Union Version (SUV)

Ibrahimu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.

Mwa. 22

Mwa. 22:5-20