Mwa. 22:12 Swahili Union Version (SUV)

Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, iwapo hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee.

Mwa. 22

Mwa. 22:6-13