Mwa. 21:16 Swahili Union Version (SUV)

Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.

Mwa. 21

Mwa. 21:14-26