Mwa. 2:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote.

2. Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.

Mwa. 2