Mwa. 19:28 Swahili Union Version (SUV)

naye akatazama upande wa Sodoma na Gomora na nchi yote ya hilo Bonde, akaona, na tazama, moshi wa nchi ukapanda, kama moshi wa tanuru.

Mwa. 19

Mwa. 19:18-37