Mwa. 19:16 Swahili Union Version (SUV)

Akakawia-kawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe, na mkono wa binti zake wawili, kwa jinsi BWANA alivyomhurumia, wakamtoa wakamweka nje ya mji.

Mwa. 19

Mwa. 19:14-26